UJENZI WA MRADI WA DARAJA LA TANZANITE WAFIKIA ASILIMIA 83.5

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua mradi wa ujenzi wa daraja jipya la Tanzanite (New Selander) jijini Dar es Salaam na kwamba ameridhishwa na kasi ya maendeleo ya mradi huo ambao umefikia asilimia 83.5.   Amekagua ujenzi wa mradi huo leo (Alhamisi, Juni 17, 2021). Daraja hilo lenye urefu wa kilomita 1.03 na upana wa mita 20.5, litagharimu